Tue 26 May 2020
Advertising Network

Mabadiliko kwa Advertisers kwenye mfumo wa Ads Pessa

maro news
Mabadiliko kwa Advertisers kwenye mfumo wa Ads Pessa

2. Kwa wale wanaohitaji kutangaza blog zao au biashara zao kupitia mfumo wetu, bei ni nafuu sana na mfumo wetu una matangazo ya aina nyingi na kutosheleza mahitaji yako. Bei zetu ni tofauti kati ya Bloggers na Wafanya biashara pamoja na makampuni.

1. Bloggers kutangaza blog zao ni Tsh 10,000/=

1. Biashara ni Tsh 20,000/=

3. Makampuni ni Tsh 30,000/=

Na bei zote hizo ni kwa mwezi mmoja tu.


Karibuni sana muweze kutangaza biashara zenu kupitia Ads Pessa.

Kwa maoni au ushauri, tafadhali tupigie namba zifuatazo:-

0756888069 au 0718268014

Au toa maoni yako hapa chini

BONYEZA HAPA KUJIUNGA

David Sembosi

David Sembosi

My name is David Peter, the Admin of this blog  

0 Comments.

leave a comment

You must login to post a comment. Already Member Login | New Register