Tue 26 May 2020
Advertising Network

Mabadiliko kwa Publishers kwenye mfumo wa Ads Pessa

maro news
Mabadiliko kwa Publishers kwenye mfumo wa Ads Pessa

Kwasasa tumefanya mabadiliko kwenye mfumo wetu ili kumwezesha kila mmoja aweze kufaidika na mfumo wetu wa Ads Pessa.

Kuanzia leo mfumo wetu utafanya kazi kama ifuatavyo:-

1. Kwa kila viewer 1 atakayeonekana na kurekodiwa na mfumo wetu bei itakuwa tsh 1, hii ina maana kwamba ukifikisha views 10,000 unapata Tsh 10,000/=

2. Chini ya views 10,000  na wasiopungua 6,000 utalipwa Tsh 5,000/= tu

3. Clicks 200/= unapata Tsh 5,000/= , na kama utakuwa na click chini ya hizo na zisizopungua 100 utalipwa 2,000/=


Na hesabu hii itaisha baada ya mwezi husika tu. Baada ya kufanya malipo tunaanza moja na kama hukufanikiwa kufikisha idadi inayotakiwa basi itabidi ujitahidi kipindi kingine na views zako hazitahesabiwa mwezi utakao fuata. Kwani kila mwezi tutaanza upya.

>> Mabadiliko haya ni kumfanya kila blogger mwenye jitihada aweze kupata kipato kizuri na asifanye kazi bure.

Achana n a hao wanaosema sisi ni matapeli, sio kweli bali tulifunga mfumo kwa muda ili kubuni njia rahisi ya kumfanya kila blogger afaidi kwani njia ya mwanzo ilikuwa ngumu sana kuweza kupata kipato chochote.


Hivyo tunawakaribisha mjiunge na muweze kutengeneza kipato kizuri.

Pia tunapokea ushauri na maoni kutoka kwenu, kama una maoni au ushauri kuhusu huduma zetu tupigie kwa namba hizi 

0756888069 au 0718268014.


BONYEZA HAPA KUJIUNGA

David Sembosi

David Sembosi

My name is David Peter, the Admin of this blog  

0 Comments.

leave a comment

You must login to post a comment. Already Member Login | New Register